Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

NAMNA UGONJWA WA CORONA UNAVYOCHUKULIWA

U
Machapisho ya hivi karibuni

MALAIKA MIKAEL

MALAIKA MIKAEL NI NANI? KULINGANA na Biblia, kuna mamilioni ya malaika wanaoishi katika makao ya kiroho. ( Danieli 7:9, 10; Ufunuo 5:11 ) Kutoka mwanzo hadi mwisho, Maandiko mara nyingi hurejezea malaika walio waaminifu kwa Mungu. Hata hivyo, ni wawili tu kati ya viumbe hao wa kiroho wanaotajwa kwa majina. Mmoja wao ni malaika Gabrieli, aliyewapelekea watu watatu tofauti-tofauti ujumbe kutoka kwa Mungu kwa kipindi cha miaka 600 hivi. (Danieli 9:20-22; Luka 1:8-19, 26-28 ) Malaika mwingine anayetajwa kwa jina katika Biblia ni Mikaeli. Bila shaka, Mikaeli ni malaika mwenye cheo cha pekee. Kwa mfano, katika kitabu cha Danieli, Mikaeli anatajwa kuwa anapigana na roho waovu kwa niaba ya watu wa Yehova. (Danieli 10:13; 12:1 ) Katika barua iliyopuliziwa ya Yuda, Mikaeli amshambulia Shetani katika bishano juu ya mwili wa Musa. ( Yuda 9 ) Kitabu cha Ufunuo chaonyesha kwamba Mikaeli alipigana na Shetani na malaika zake na kuwavurumisha chini kutoka mbinguni. (Ufunuo 12:7-9 ...

HOMONI NA MATATIZO YAKE

Homoni ni duty za kikemikali zinazotengenezwa kwenye tezi maalumu katika mwili wa mnyama au viumbe zinazosababisha tishu au seli kufanya kazi husika. Tunaposema nidutu tunamaana ni kemikali ambayo ni halisia .Homoni hutumika kama msafirishaji. Homoni huzalishwa ndani ya tezi tofauti tofauti ndani ya mwiliambazpo kuna tezindani na/vichuno Tezindani/vichuno NI tezi zote zinazozalisha homoni na hazina mirija ya kusafirishia kemikali/homoni zinazozalishwa mfano wa tezindani NI ttezi ya Pituitary, kongosho, Thairoid, Parathyroid, Adrenal, na tezi za uzazi(ovary na korodani?) Baadhi ya tezi zenye mirija ndani ya mwili NI tezi mate,tezijasho na tezimachozi           PITUITARY .Hupatikana sehemu ya kichwani chini ya ubongo wa cellebelum karibu na haipothalamus .Zimegawanyika katika sehemu kuu mbili i)sehemu ya mbele ii)sehemu ya nyuma Tezi hii huitwa tezi kuu kwa au tezikiongozi kwa sababu hutawala kazi za tezi za tezi zote za ndani.Pia hufanya kazi ya ukua...

MAISHA HAYA NI KUKUMBUSHANA TUU

Nini maana ya maisha haya. mtu amezaliwa leo, kesho anakufa Mtu anaishi katika jumba leo, kesho anaishi chini ya ardhi.(mfu) Mtu anaendesha gari leo, kesho anaendeshwa kwenye ambulance(ajali) Mtu anasoma biolojia leo, kesho wasifu wake unasomwa Mtu anakula chochote anachotaka leo, kesho yeye anakua chakula kwa ajili ya wadudu. Mtu daima huwahi kazini mapema leo, kesho yeye aitwa marehemu Mr / Mrs. fulani Mtu ni kuona kupumzika katika nyumba yake leo, kesho amelala katika jeneza. Na wanasema "Rest In Peace"! Mtu anakula kila aina ya matunda katika nyumba yake leo, Kesho yeye huwa mbolea kwa miti hiyo. Mtu inajulikana leo kama ni tajiri milele, Kesho akifa akuna ajuae kuthusu utajiri wake. maisha ni nini baada ya haya  yote? Panga maisha yako kwa sababu unaweza usiione kesho maisha yako ukiyapanga vizuri huwezi Kuwa na hofu ya kitu chochote. Tenda kqa HAKI NA kuishi maisha ya kimungu. Daima kuwa mkono wa kuwasaidia wengine. hebu fikiri kuh...