Homoni ni duty za kikemikali zinazotengenezwa kwenye tezi maalumu katika mwili wa mnyama au viumbe zinazosababisha tishu au seli kufanya kazi husika.
Tunaposema nidutu tunamaana ni kemikali ambayo ni halisia
.Homoni hutumika kama msafirishaji.
Homoni huzalishwa ndani ya tezi tofauti tofauti ndani ya mwiliambazpo kuna tezindani na/vichuno
Tezindani/vichuno
NI tezi zote zinazozalisha homoni na hazina mirija ya kusafirishia kemikali/homoni zinazozalishwa mfano wa tezindani NI ttezi ya Pituitary, kongosho, Thairoid, Parathyroid, Adrenal, na tezi za uzazi(ovary na korodani?)
Baadhi ya tezi zenye mirija ndani ya mwili NI tezi mate,tezijasho na tezimachozi
PITUITARY
.Hupatikana sehemu ya kichwani chini ya ubongo wa cellebelum karibu na haipothalamus
.Zimegawanyika katika sehemu kuu mbili i)sehemu ya mbele ii)sehemu ya nyuma
Tezi hii huitwa tezi kuu kwa au tezikiongozi kwa sababu hutawala kazi za tezi za tezi zote za ndani.Pia hufanya kazi ya ukuaji (matendo ya ukuaji wa mwili)
SEHEMU YA MBELE YA PITUITARY
Inahusika na utoaji wa homoni ambazo zinahamasisha tezi nyingine kufanya kazi mfano homoni zinazohamashisha tezi za thairoidi kutoa homoni zake
.Homoni za kuhamasisha tezi za adrenal kutoa homoni zake
.homoni za kuhamasisha tezi za parathairoid kutoa prolaktini na laktetini pia homoni za kusinyaisha misuli laini
SEHEMU YA NYUMA YA PITUITARY
Hutoa homoni zinazofanya kazi za moja kwa moja mfano homoni za (GH) Inahamasisha utanukaji wa misuli kwa kurefusha misuli,Homoni za Follicles (FSH),homoni za Luteinizing (LH)
TEZI ZA WENGU
Hupatikana katika utumbo mwembamba unaoitwa duodenum ambao umetengenezwa na seli mbili
Homoni zitolewazo katika tezi hii NI Glukagoni na Insulin ambazo hufanya kazi za tips
Glukagoni husaidia kubadili glaikogeni iliyoko katika damu kuwa glukose ambayo hufanya kazi ya kuongea sukari katika damu insulin hubadili glukosi katika mwili nakuwa glaikogeni
Insulini ikitolewa KWA kiwango mwilini husababisha kisukari cha juu(diabetes?) Ambapo hupelekea jasho,mkojo,mate kuwa na ladha ya sukari(kila majimaji katika mwili huwa na ladha ya sukari)
DALILI ZA KISUKARI
.Vidole viwili vya miguuni gumba na shahada hufa ganzi hata zaidi ya miezi miwili
.kichwa kuuma
.kuwa na uoni hafifu
.kidonda kuchelewa kupona
Basi KWA Leo tuishapo hapo tutaendele kesho panapo majaaliwa kwa
KARIBU KWA maoni NA USHAURI WAKO

Maoni
Chapisha Maoni