Ruka hadi kwenye maudhui makuu

USHAURI WA NDOA NA MAPENZI



IMEANDALIWA NA *R.M - Professor of psychology Ohio state University-USA; katika kiingereza*

IMETAFSIRIWA NA *MAISHA LASTON MWAIPAJA (AKABHOFU!!!!) BA.ED(horns) UDSM - TANZANIA ; katika kiswahili*

*ZINGATIA*:- _TAFSIRI HII SIYO RASMI_

Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.
Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.
Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo.Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao. Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake;anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.

Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa,lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.

Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbuki kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe; na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza kuchepuka.Mkeo akianza kuchepuka utakuwa mwanaume mwenye bahati sana endapo hautakufa ndani ya miaka 10.Tafiti zinaonesha kuwa 95% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka, ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka; vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).

Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.

Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahii tendo la ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.

Mwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi, huwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu, ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo; na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka, ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.

Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.

*Pindi mkeo anapoanza kulala na mwanaume/wanaume wengine ujue kifo chako ki karibu.* "

 Endelea kutembelea blog yetu upate kujifunza mengi zaidi
Acha maoni yako chini

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USHAURI NA UNASIHI

              USHAURI NASAHA    Ushauri na sana Ni mazungumzo kati ya mtu mwenye ujuzi,utaalam na uzoefu wa kusikiliza na kutoa mwongozo wa namna ya kutatua tatizo LA mtu au kikundi cha watu. Ifahamike ushauri nasaha ni huduma inayohitaji watu wawili au zaidi yaani;  1:mnasihi(mshauri) huyu ni mmoja tu na si zaidi  2:mshauriwa au mteja wa mshauri (huwa mmoja au kundi) Mshauri huhitaji mshauriwa ili kufanikisha zoezi zima LA ushauri na saha Kwa nchi zilizoendelea kuna vitu vya ushauri na saha ambapo mshauri(therapist)huwa anasubiri mteja ili kufanikisha kazi ya utherapy au ushauri Kwa nchi za ulimwengu wa tatu ni ngumu kuona Kitu km hicho unless otherwise hospital... Hii ni kutokana na ukweli kwamba watu wengi wa nchi hizo hawapendi kutembelea vituo vya afya mpaka wapatwe na magonjwa hivyo hivyo kwa vituo vya ushauri.Watu wengi ni wagonjwa bila kutambua na huhitaji kushauriwa ili kuenenda vizuri na jamii Chunguza! Unaku...

JINSI YA KUMSHIKA MPENZI WAKO

    JINSI YA KUMSHIKA MKE AU MPENZI WAKO      Wengi hulizwa na wapenzi wao wa dhati pengine ni kwasababu hawajui wafanye nini!    Kuna mbinu za kumfanya mke au mume atulie na wewe. Mini mwanamke anataka? --->Anahitaji mwanaume anayempa furaha.Anaemfurahisha muda wote na kupenda -->Anahitaji mwanaume atakaye taniana naye.Tambua kwamba utani hunogesha zaidi mapenzi yenu sio kila wakati mwanaume upo serious laah unataka uitwe kinyago cha kutishia watoto? -->mwanaume atakayekuwa baba wa familia mwenye msimamo thabiti asiyeyumbayumba yaani Mara huku Mara kule na anayempenda -->Anahitaji mwanaume anayemridhisha katika tendon la ndoa .Hakika utapendwa japo tatizo kubwa kwa sasa ni Wanaume kutowaridhisha wake zAo nikuibie tu siri kidogo ;usiwe na papara muwapo kitandani tulia ikiwezekana cheza nae kwanza kabla ya tendon lenyewe na hapo utaona matokeo yake lazima tuu atakupenda tatizo LA wengi ni ikisha chanua anachojua ni kupiga mzimamzima ...