Ruka hadi kwenye maudhui makuu

JINSI YA KUMSHIKA MPENZI WAKO

    JINSI YA KUMSHIKA MKE AU MPENZI WAKO

     Wengi hulizwa na wapenzi wao wa dhati pengine ni kwasababu hawajui wafanye nini!

   Kuna mbinu za kumfanya mke au mume atulie na wewe. Mini mwanamke anataka?
--->Anahitaji mwanaume anayempa furaha.Anaemfurahisha muda wote na kupenda
-->Anahitaji mwanaume atakaye taniana naye.Tambua kwamba utani hunogesha zaidi mapenzi yenu sio kila wakati mwanaume upo serious laah unataka uitwe kinyago cha kutishia watoto?
-->mwanaume atakayekuwa baba wa familia mwenye msimamo thabiti asiyeyumbayumba yaani Mara huku Mara kule na anayempenda
-->Anahitaji mwanaume anayemridhisha katika tendon la ndoa .Hakika utapendwa japo tatizo kubwa kwa sasa ni Wanaume kutowaridhisha wake zAo nikuibie tu siri kidogo ;usiwe na papara muwapo kitandani tulia ikiwezekana cheza nae kwanza kabla ya tendon lenyewe na hapo utaona matokeo yake lazima tuu atakupenda tatizo LA wengi ni ikisha chanua anachojua ni kupiga mzimamzima hapana sio hivo taratibu tuliza akili na utaona matokeo yake
-->Mwanamke Anahitaji mwanaume anayemsikiliza
-->Anahitaji mwanaume anaye mthamini na kufahaamu matatizo yake na kusaidiana
-->>Mwanaume anatakiwa kuwa mbunifu na mwenye kujali


   Hayo machache niliyokuandalia yatakusaidia wewe unaelalamika kutendwa kila cku...
Usiache kuaAcha comments yako hapo

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

USHAURI NA UNASIHI

              USHAURI NASAHA    Ushauri na sana Ni mazungumzo kati ya mtu mwenye ujuzi,utaalam na uzoefu wa kusikiliza na kutoa mwongozo wa namna ya kutatua tatizo LA mtu au kikundi cha watu. Ifahamike ushauri nasaha ni huduma inayohitaji watu wawili au zaidi yaani;  1:mnasihi(mshauri) huyu ni mmoja tu na si zaidi  2:mshauriwa au mteja wa mshauri (huwa mmoja au kundi) Mshauri huhitaji mshauriwa ili kufanikisha zoezi zima LA ushauri na saha Kwa nchi zilizoendelea kuna vitu vya ushauri na saha ambapo mshauri(therapist)huwa anasubiri mteja ili kufanikisha kazi ya utherapy au ushauri Kwa nchi za ulimwengu wa tatu ni ngumu kuona Kitu km hicho unless otherwise hospital... Hii ni kutokana na ukweli kwamba watu wengi wa nchi hizo hawapendi kutembelea vituo vya afya mpaka wapatwe na magonjwa hivyo hivyo kwa vituo vya ushauri.Watu wengi ni wagonjwa bila kutambua na huhitaji kushauriwa ili kuenenda vizuri na jamii Chunguza! Unaku...

USHAURI WA NDOA NA MAPENZI

IMEANDALIWA NA *R.M - Professor of psychology Ohio state University-USA; katika kiingereza* IMETAFSIRIWA NA *MAISHA LASTON MWAIPAJA (AKABHOFU!!!!) BA.ED(horns) UDSM - TANZANIA ; katika kiswahili* *ZINGATIA*:- _TAFSIRI HII SIYO RASMI_ Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa. Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe. Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo.Mwanaume anaweza kufanya tendo la ...