Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2017
                       MUSIC BASIC THEORY 1.1. Pitch The Staff People were talking long before they invented writing. People were also making music long before anyone wrote any music down. Some musicians still play "by ear" (without written music), and some music traditions rely more on improvisation and/or "by ear" learning. But written music is very useful, for many of the same reasons that written words are useful. Music is easier to study and share if it is written down. Western music specializes in long, complex pieces for large groups of musicians singing or playing parts exactly as a composer intended. Without written music, this would be too difficult. Many different types of music notation have been invented, and some, such as tablature, are still in use. By far the most widespread way to write music, however, is on a staff. In fact, this type of written music is so ubiquitous that it is called ...

UALIMU NA UPIMAJI

UPIMAJI KATIKA UALIMU         Upimaji katika elimu ni kitu muhimu sana unapotaka kujua maendeleo yaliopatikana wakati wa kujifunza au kufundisha. Upimaji humuonyesha anaejifunza ni mahali gani amefanikiwa na ni mahali gani ana mapungufu. Vilevile anaefundisha anajua ni mahali gani amefanikiwa au niwapi hajafanikiwa.       M AANA YA UPIMAJI KATIKA ELIMU Katika elimu upimaji ni tendo la kutafuta ni kwa kiasi gani mwanafunzi amepata maarifa au stadi zilizofundishwa kufuatana na malengo ya ufundishaji wa mada za somo yaliyopo kwenye muhtasari. Upimaji katika elimu pia hujumuisha mwenendo na tabia ya mwanafunzi na uwezzo wake wa kufanya mambo mbalimbali. UMUHIMU WA UPIMJI KATIKA ELIMU Matokeo katika upimaji wa elimu hutumiwa na watu mbalimbali kwa mfano mwanafunzi,shule,wazazi,waajiri walimu na watafiti.    A.MWANAFUNZI >Matokeo ya upimaji wa mwanafunzi >Huwa ni kigezo cha chake cha kutambua ameelewa kwa kiasi gan...

USHAURI WA NDOA NA MAPENZI

IMEANDALIWA NA *R.M - Professor of psychology Ohio state University-USA; katika kiingereza* IMETAFSIRIWA NA *MAISHA LASTON MWAIPAJA (AKABHOFU!!!!) BA.ED(horns) UDSM - TANZANIA ; katika kiswahili* *ZINGATIA*:- _TAFSIRI HII SIYO RASMI_ Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa. Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe. Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo.Mwanaume anaweza kufanya tendo la ...

USHAURI NA UNASIHI

              USHAURI NASAHA    Ushauri na sana Ni mazungumzo kati ya mtu mwenye ujuzi,utaalam na uzoefu wa kusikiliza na kutoa mwongozo wa namna ya kutatua tatizo LA mtu au kikundi cha watu. Ifahamike ushauri nasaha ni huduma inayohitaji watu wawili au zaidi yaani;  1:mnasihi(mshauri) huyu ni mmoja tu na si zaidi  2:mshauriwa au mteja wa mshauri (huwa mmoja au kundi) Mshauri huhitaji mshauriwa ili kufanikisha zoezi zima LA ushauri na saha Kwa nchi zilizoendelea kuna vitu vya ushauri na saha ambapo mshauri(therapist)huwa anasubiri mteja ili kufanikisha kazi ya utherapy au ushauri Kwa nchi za ulimwengu wa tatu ni ngumu kuona Kitu km hicho unless otherwise hospital... Hii ni kutokana na ukweli kwamba watu wengi wa nchi hizo hawapendi kutembelea vituo vya afya mpaka wapatwe na magonjwa hivyo hivyo kwa vituo vya ushauri.Watu wengi ni wagonjwa bila kutambua na huhitaji kushauriwa ili kuenenda vizuri na jamii Chunguza! Unaku...