UPIMAJI KATIKA UALIMU
Upimaji katika elimu ni kitu muhimu sana unapotaka
kujua maendeleo yaliopatikana wakati wa kujifunza
au kufundisha. Upimaji humuonyesha anaejifunza ni
mahali gani amefanikiwa na ni mahali gani ana
mapungufu. Vilevile anaefundisha anajua ni mahali
gani amefanikiwa au niwapi hajafanikiwa.
MAANA YA UPIMAJI KATIKA ELIMU
Katika elimu upimaji ni tendo la kutafuta ni kwa
kiasi gani mwanafunzi amepata maarifa au stadi
zilizofundishwa kufuatana na malengo ya ufundishaji
wa mada za somo yaliyopo kwenye muhtasari.
Upimaji katika elimu pia hujumuisha mwenendo na
tabia ya mwanafunzi na uwezzo wake wa kufanya
mambo mbalimbali.
UMUHIMU WA UPIMJI KATIKA ELIMU
Matokeo katika upimaji wa elimu hutumiwa na watu
mbalimbali kwa mfano
mwanafunzi,shule,wazazi,waajiri walimu na watafiti.
A.MWANAFUNZI
>Matokeo ya upimaji wa mwanafunzi
>Huwa ni kigezo cha chake cha kutambua ameelewa
kwa kiasi gani cha kitu au vitu/ mada
alizofundishwa.
>Huumpa changamoto ya kujifunza. Endapo amepata
alama za juu hupenda kuziendelezana kama
amepata alama za chini,hufanya bidii ya
kujikwamua.
Huumfanya awe makini katika kujifuza maana
anajua fika kuwa atapimwa. Hii humfanya asiwe
mtoro au mzembe wakati wa masomo.
MWALIMU
Matokeo ya upimaji wa mwanafunzi humuwezesha
mwalimu.
Kutambuwa kiwango cha uelewa wa wanafunzi
katika maada mbalimbali za somo.
Kutambua matatizo wanayopata wanafunzi wakati
wa kujifunza na kuyatafutia ufumbzi.
Kutambua wanafunzi wenye matatizo ya kuelewa
somo au sehemu ya somo ili aweze kuwapa
mafunzo ya ziada.
Kugundua malengo ya somo ambayo wanafunzi
hawakufanikiwa na kuchunguza sababu.
Kuangalia mapungufu na mafanikio ya mtaala na
kutoa taarifa kwa wahusika.
Kurekebisha mbinu za kujifunzia na kubuni/
kufaragua vifaa vipya ili malengo mengi zaidi
yafikiwe.
SHULE
Matokeo ya upimaji wa maendeleo ya mwanafunzi
huiwezesha shule
Kujua ufanisi wake katika elimu kwa kulinganisha na
shule nyingine.
Kujua malengo ya mtaala yaliofikiwa.
Kupanga wanafunzi katika mikondo (si lazima
wenye uwezo mmoja wakawa pamoja)
Kumshauri mwanafunzi kuendelea na ngazi ya
masomo inayofuata au kurudia.
Kushauri viongozi wa elimu kuhusu mwanafunzi
anaeonekana kuwa na uwezo au kipaji maalumu ili
aweze kuendelezwa.
Kuwasiliana na mzazi kuhusu maendeleo ya
mwanafunzi kwa kutumia ripoti.
Kushauri wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi
kuhusu ubora au mapungufu ya mitaala ili hatua
zinazofuata zichukuliwe.
C.MZAZI

humwezesha mzazi
Kufahamu maendeleo ya mtoto wake
Kuchunguza chanzo cha matatizo kama yapo na
kushirikiana na shule kuyatafutia ufumbuzi
Kummotisha mtoto wake ili aongeze bidii.
D.MWAJIRI
Matokeo ya upimaji wa mwanafunzi humwezezha
mwajiri;
Kuchagua mfanyakazi kwa kuangalia uwezo wake
kitaaluma na mwenendo tangu akiwa shuleni.
Kumpangia mfanyakazi aina ya kazi
inayoendana na
uwezo wake kitaaluma.
MADHUMUNI YA UPIMAJI KATIKA ELIMU
Tunaweza kuorodhesha madhumuni ya upimaji
katika elimu ambayo ni;
Kujua maendeleo ya mwanafunzi kitaaluma, kitabia,
na kistadi.
Kubaini matatizo ya mwanafunzi katika kujifunza.
Kuangalia kiwango cha kufanikawa cha malengo ya
kila mada.
Kuamsha ari ya mwanafunzi kujifunza zaidi
Kuboresha ufundishaji.
Kuandaa vigezo vya kutumia wakati wa kuchagua
wanafunzi kwa masomo ya juu au kozi mbalimbali.
NYANJA ZA UPIMAJI KATIKA ELIMU
Katika elimu vipengele ya kuzingatia katika upimaji
ni uwezo wa kitaaluma, kufanya vitendo,na kumudu
matatizo au shinikizo mbalimbali katika maaisha.
Nyanja za upimaji ni maerneo ambayo ujuzi,
mwelekeo na matendo tarajiwa kwa mwanafunzi
kuwa nayo,kujenga au kupata baada ya mafunzo.
Nyanja za utambuzi hujumuisha
Nyanja za utambuzi
Nyanja za mwekekeo
Nyanja za vitendo
NYANJA ZA UTAMBUZI
Nyanja hiii inahusika na ujuzi /uzoefu ambao
mwanafunzi anatarajiwa kuwa nao baada ya
kujifunza na kupewa mtihani au majaribio. Nyanja
hii Benjamin Bloom (1956) ameigawa katikavifungu
(ngazi) sita vilivyopangwa kuanzia kifungu kilicho
rahisi hadi kilicho tata. Vifungu hivyo ni
Maarifa
Ufahamu
Matumizi
Uchambuzi
Uunganishaji/ uundaji
Tathimini
NGAZI YA MAARIFA
Maswali yanayoulizwa hupima uwezo wa
mwanafunzi kukumbuka maarifa, stadi za jumla
alilzojifunza.(Je, mwanafunzi anaweza kukumbuka
alichofundishwa?). Vitenzi vinavyotumika katika
maswali yanayopima ngazi hii ni kama , Taja,
andika, orodhesha, eleza.
Mfano wa maswali ni kama
Taja makundi mawili ya viumbe hai
Orodhesha mambo yanayoathiri kinga ya mwli
Nini maana ya mashine?
NGAZI YA UFAHAMU
Mwanafunzi anapimwa katika ngazi hii ni kutaka
kujua kama anaweza kuhusisha maarifa mapya na
marifa aliokuwa nayo.(Je,mwanafunzi anaweza
kukueleza nakutafsiri maana ya kitu
kilichofundishwa?) Vitenzi vinavyotumika katika
maswali yanayopima ngazi hii ni kama Toa, fupisha,
eleza.
Mfano wa maswali ni kama
Toa tofauti kati ya wanyama na mimea.
Eleza athari za UKIMWI katika jamii.
NGAZI YA MATUMIZI
Ngazi hii huhusisha maswali yanayomtaka
mwanafunzi kutumia habari anayoifahamu kupata
jibu. (Je, mwanafunzi anaweza kutumia maarifa na
stadi katika mazingira mapya kuhusu mambo
aliyofundishwa?) Vitenzi vinavyotumika katika
maswali yanayopima ngazi hii ni kama
Kokotoa mlinganyo ufuatao
2x+y= 1 na 2x-y=2
Elezea kwa ni meli inaelea juu ya maji.
NGAZI YA UCHAMBUZI
Ngazi hii mwanafunzi hutakiwa kufikiri kwa makini
na maswali yanayotungwa ni yanayomtakaka
mwanafunzi kuchambua maarifa na kubainisha
sehemu zake na kuonyesha uhusiano.(Je,
mwanafunzi anaweza kutambua na kuhusianisha
sehemu mbalimbali za kitu au taarifa?).
Mfano wa vitenzi vinavyotumika ni kama
kuhusianisha,changanua, gawanya,tenga.
Mfano wa maswali ni kama
Kwa nini karafuu haiwezi kustawi Lushoto?
Andika kwa kifupi kifungu cha habari kifuatacho.
Chora ramani ya Tanzania na uoneshe maziwa ma
mito.
NGAZI YA UUNDAJI
Katika ngazi hii mwanafunzi hupimwa uwezo wake
wa kuunganisha vitu mbalilmbali kuunda kitu
kizima.(Je mwanafunzi anaweza kutoa uamuzi au
kuanzisha mambo kutokana na taarifa
zilizochanganuliwa?) Vitenzi vinavyotumika ni kama
husianisha, jenga upya, pangilia, unda fupisha.
Mfano wa maswali ni kama
Hatua gani zichukuliwe ili kupunguza matatizo
kwenye utafiti?
Eleza namna utakavyoboresha mazingira
yaliyoharibika kwa ajili ya ukataji miti.
NGAZI YA TATHMINI
Katika ngazi hii mwanafunzi anatakiwa kutathmini
uzuri au ubaya wa matumizi ya kitu fulani na
kufanya maamuzi.(Je,mwanafunzi anaweza kuamua
kitu kina thamani gani au kinafaa au hakifai
kufuatana na kipimo sanifu kuchunguza sifa za kitu
hicho). Vitenzi vinavyotumika ni kama hakiki,
hitimisha, kubaliana, tetea, toa ufupisho, toa
makosa.
Mfano wa naswali ni kama
Elimu ni bora kuliko mali. Je, unakukbaliana na
usemi huu? Eleza jibu lako.
Fafanua kauli hii kwa kutumia hoja tano. Utafiti wa
matumizi ni bora zaidi kuliko utafiti wa msingi.
NYANJA YA MWELEKEO
Ni nyanja ya malezi ya hisia ambayo inahusika
katika kupima tabia ya mwelekeo na mwenendo wa
mwanafunzi. Lengo ni katika kujua; usafi,
ushirikiano, uvumilivu juhudi na kujadili mambo.
NGAZI ZA NYANJA YA MWELEKEO
Ngazi ya kuwa tayari kupokea mambo mbalimbaali
Ngazi ya kushiriki/ kuitikia
Ngazi ya kutathmini na kuhusianisha
Ngazi ya msimamo/ Ngazi ya kuoanisha maswala
mbalimbali
NGAZI YA KUWA TAYARI
Hii ni ngazi ya kwanza ambayo huonesha utayari
alionao mwanafunzi kujifunza.(Je, mwanafunzi yuko
tayari kupokea kichokoo,kwa mfano kukubali
kushauriwa?). Vitenzi vinavyotumika ni kama chagua
jibu sahihi, elekeza, fuata.
Mfano wa maswali ni kama
Utakapochelewa kipindi cha ualimu utafanya nini?
Uko tayari kusoma na mwanafunzi mlemavu
NGAZI YA KUITIKIA / KUSHIRIKI
Katika ngazi hii mwanafunzi yuko tayari kujifunza,
kuonyesha mwitikio alionao kama kwa kuwa
mchangamfu muda wote.(Je, mwanafunzi anaweza
kushiriki katika shughuri mbalimbali yaani kuchangia
mawazo na utendaji?) Vitenzi vinavyotumika ni
kama amkia, saidia tambulisha, simulia,
nyumbulisha . Mfano wa maswalli ni kama
Utamsaidiaje mtu alieumwa na nyoka?
Ngoma zinapochezwa usiku zinachochea
maambukizi ya UKIMWI. Jadili
NGAZI YA KUTHAMINISHA
Mwanafunzi hupimwa jinsi gani anavyojisamini yeye
mwenyewe, anavyothaminiwa na wenzake walimu
wake na jami ikwa jumla.(Je mwanafunzianaweza
kuthamini kitu wazo na watu yaani kuwajibika?)
Vitenzi vinavyotumika ni kama fanya kazi, toa
taarifa, shirikiana, pendekeza, pambanua.
Mfano wa maswli ni kama.
Badili asilimia kuwa desimali
Oanisha maneno kwenye orodha A nay ale yalioko
kwenye orodha B.
KUOANISHA MASWALA MBALIMBALI
Mwalimu hupima uwezo wa mwanafunzi katika
kulinganisha na kutofautisha vitu mbalimbali.
(Je,mwanafunzi anaweza kuwa na msimamo wa
fikra?) Vitenzi vitumikavyo ni kama; Unda, zingatia,
husianisha tayarisha unganisha, linganisha.
Mfano wa maswali ni kama
Binadamu wote ni sawa thibitisha kauli hii.
KUWA NA MSIMAMO
Mwalimu kupima msimamo wa wanafunzi juu ya
maamuzi ya maswala mbalimbali
NYANJA YA STADI
Kipengele hiki hupimwa kwenye vitu vinavyohusu
utumiaji wa mikono,miguu, na sehemu nyingine za
mwli. Vitu muhimu vinavyoangaliwa ni kama uwezo
wa
Kutumia vifaa au zana
Kuchagua vifaa au zana muafaka
Kutunza au kurudisha vifaa/zana mahali pake
Kupata matokeo mazuri au zao bora
Nyanja ya stadi imegawanyika katika ngazi kuu tatu
ambazo ni
Kuchunguza
Kuiga
Kurekebisha
KUCHUNGUZA
Je, mwanafunzi anaweza kuangalia na kusikiliza
kwa makini kinachotendeka?
KUIGA
Je, mwanafunzi anaweza kkufuatisha maelekezo
kwa vitendo ili kujenga mazoezi ya utendaji?
KUREKEBISHA
Je mwanafunzi anaweza kutumia misingi ya utendaji
kubuni kitu kipyaau utendaji mpya?
ZANA ZA UPIMAJI KATIKA ELIMU
Zana kuu zinazotumika katika upimaji wa maendeleo
ya elimu ni pamoja na mazoezi, mitihani, muongozo
wa usaili,majaribio na jedwali la kupima tabia na
mwenendo wa wanafunzi.
MAZOEZI
Unapokuwa unafundisha kwa njia shirikishi ni jambo
la kawaida kuwauliza wanafunzi wako maswali.
Maswali haya huwa ni sehemu ya mazoezi ya
kujenga somo. Vilevile hukupa mwanga ni
mwanafunzi gani anafuatana na wewe
unavyofundisha. Si kila mwanafunzi atapata nafasi
ya kujibu maswali, njia hii haitoshi kupima
ufundishaji.Ili kufanya ikamilike inabidi utoe zoezi
kila amalizapo dhana,mada au sura.
MAJARIBIO
Majaribio ni mazoezi yanayotolewa na mwalimu kwa
mwanafunzi ili kumpima mafanikio yao katika
kujifunza. Majaribio hufanyika kuwapima wanafunzi
katika mada kuu au mada nyingi.Majaribio haya
hufanywa mara moja kwa kila majuma mawili,
mwezi au nusu mhula, Njia hii huweza kumpima
mwanafunzi anavyoendelea kupokea na kuhifadhi
taaluma.
MITIHANI
Mitihani hutolea kwa shule za msingi, sekondali,
vyuoni mwishoni mwa mhula. Matokeo ya mitihani
huonyesha mwanafunzi anavyoendelea katika
masomo yake mbalimbali iklinganishwa na
wenzake.
Mitihani mikuu inayofanyika ni pamoja na
Mtihani wa kualilza darasa la saba ambao hutumika
kuchagua wanafunzi kuingia sekondari kikdato cha
kwanza.
Mtihani wa kidato cha pili.
Mtihani wa kkumaliza kidato cha nne ambao
hutumika kuchagua wanafunzi watakaojiunga na
kidato cha tano na watakao fanya kozi mballimbali
za kitaaalam
Mtihani wa kidato cha sita ambao hutumika
kuchagua wanafunzi watakaoendelea na masomo
zaidi ya sekondari ikwapo vyuo kikuu.
JEDWALI LA TABIA NA MWENENDO
Ni jukkumu la mwalimu kumlea mwanafunzi awapo
shuleni. Hivyo inakubidi ujue tabia na mwenendo
wake kila mara. Ili kuweza kufanya hivyo inakubidi
kuwa na jedwali la kuchunguza mwenendo na tabia
wa wanafunzi.

MWANAFUNZI
Matokeo ya upimaji wa mwanafunzi
Huwa ni kigezo cha chake cha kutambua ameelewa
kwa kiasi gani cha kitu au vitu/ mada
alizofundishwa.
Huumpa changamoto ya kujifunza. Endapo amepata

MZAZI

MWAJIRI

Kumpangia mfanyakazi aina ya kazi inayoendana na

Maoni
Chapisha Maoni